1
Nikiona uzaifu na imani ndogo, Nikijaribiwa sana, Yesu, unilinde.
Kiitikio
Unilinde vema, unilinde vema, Kwa sababu ya mapendo, unilinde vema.
2
Peke yangu sitaweza kukushikilia ; Pendo langu ni zaifu, Yesu, unilinde.
3
Mimi mali yako sasa ulinikomboa, Ulitoa damu yako, Yesu, unilinde.
4
Huta-acha nipote-e, unalinda sana ; Kwani ninakuamini, Yesu unilinde.
