1
Ni neema ya kunishangaza iliyoniokoa ; Nilipotea, lakini Yesu alinivuta kwake.
2
Hukumu ya Mwamuzi Mungu niliogopa sana, Lakini sasa, kwa neema yake, sitaogopa tena.
3
Katika majaribu mengi nimesimama nguvu ; Kwa neema yake alinichunga, hataniacha kamwe.
4
Tutashukuru Mungu wetu milele na milele Kwa neema kubwa tuliyo-ona katika Mwana wake.
