Wimbo wa 315:
NIMEPATA SALAMA

1

Nimepata salama kutoka mbinguni, Sasa ninapumzika kwa Yesu; Na katika mateso na taabu ya hapa Ninaona salama na kimya.

Kiitikio

Nimepata salama, ni salama kutoka mbinguni; Ni salama ya Mungu kulinda mioyo; Ndiyo inayopita kusema.

2

Sina mali nyingine kupita salama, Mungu aliyoleta kwa mimi; Na salama hii mutu hawezi kutoa, Itakuwa milele moyoni.

3

Sasa ninapumzika katika salama, Kwa mikono ya Yesu Mwokozi; Ninalala usiku pahali po pote, Bila woga wa kitu cho chote.

4

Na wakati nitakapofika mbinguni, Nitaona Mwokozi Mupenzi; Nitapiga asante kwaye kwa salama Iliyonituliza saa zote.

Nashville African Church

Questions & answers

Which hymn book contains “NIMEPATA SALAMA” at Nashville African Church?

It is song 315 in Nyimbo za Mungu. The lyrics on this page are in Swahili.

Can I search for a different song from “NIMEPATA SALAMA” on Nashville African Church’s website?

Yes. Use the song search on this reader page. Type a number or title, then choose a matching song from the results.

How do I return from “NIMEPATA SALAMA” to the Nashville African Church song list?

Choose “Back to songs list” in the song navigation to see all the hymns in Nyimbo za Mungu.

Can I read “NIMEPATA SALAMA” on my phone through Nashville African Church’s hymn library?

Yes. The lyrics for “NIMEPATA SALAMA” are presented in a responsive reading layout. Use Previous song and Next song where available.