1
Najua Yesu anaishi, yeye ni hai mbinguni kweli; Sababu alishinda kufa, vile uwezo wa kaburi.
Kiitikio
Najua Yesu anaishi, yeye ni hai mbinguni kweli; Najua Yesu ananipa uzima na uwezo wake.
2
Najua atakuja tena, nina ahadi yake hivi; Na siku nitakapomwona furaha itakuwa nyingi.
3
Najua anatengeneza pahali nitakapoishi; Na atakuja kuni-ita na kunikaribisha kwake.
