1
Hakose leo tu, tutaona Yesu Rafiki yetu, Mwenye kuleta furaha, na mwisho wa taabu zote.
Kiitikio
Tufurahi, Yesu atarudia ; Tuishi kwa leo bila woga, kweli Mwokozi tutamwona ; Tufurahi, Yesu atarudia.
2
Hakose leo tu, tutakwenda kwetu mbinguni juu ; Tutafurahi kabisa, akitufikisha leo.
3
Tufazaike nini ? Tutashinda kwani Mwokozi wetu Yuko pamoja na sisi kwa sasa na sikuzote.
4
Tuwe watoto wake waaminifu, tukimutumikia, Tukihubiri habari za Yesu Mwokozi wetu.
