1
Damu ya Kristo imeniokoa, Na nimezaliwa mwenye roho mypa; Ee sifa kwa Baba na sifa kwa Mwana, Damu ya Kristo imeniokoa.
Kiitikio
Sifa! Sifa! Mwokozi amenisamehe makosa! Sifa! Sifa! Kwani damu ya Kristo imeniokoa!
2
Damu ya Kristo imeniokoa, Furaha mbinguni kwa kazi ya Bwana! Mutoto wa Baba, na vile muriti, Damu ya Kristo imeniokoa!
3
Damu ya Kristo imeniokoa, Na Baba alinisamehe makosa; Ee bei ya damani ni kufa kwa Bwana; Damu ya Kristo imeniokoa!
4
Damu ya Kristo imeniokoa, Utatu wa Mungu wapate heshima; Ee sifa kwa Baba na Mwana na Roho, Damu ya Kristo imeniokoa!
