1
Nani anayeninyanyua? Ni Yesu Kristo; Na anayenipigania ? Ni Yesu Kristo. O Yesu, ninakuamini, wewe tu utanishindisha, Kwani silaha ya kushinda ni Yesu Kristo.
2
Mwenye kunifikisha mbingu ni Yesu Kristo; Mwenye kunipa shangwe kubwa ni Yesu Kristo. Na hata katika mateso na masumbuko, majaribu, Kwami taraja na furaha ni Yesu Kristo.
3
Nani aliyeniokoa ? Ni Yesu Kristo ; Nani anayefa-a kwangu ? Ni Yesu Kristo. Bado kidogo nitakwenda kule kwa nyumba yake Baba. Na nitaishi kwa milele na Yesu Kristo.
